AVIC YAFUNGUA MAUZO YA NYUMBA
1. Tanzania unprecedented feast of real estate is about to openAVIC TOWN hits the highest point as the largest high-end villa community of Dar and Tanzania at large.AVIC TOWN is built by AVIC...
View ArticleKOMREDI KINANA AUNGURUMA KARAGWE, ATEMBELEA KIWANDA CHA KAGERA SUGAR
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akishuka kutoka kwenye katapila baada kuliendesha wakati wa kazi ya kusawazisha shamba la kupanda miwa alipotembelea mashamba ya miwa ya Kiwanda cha Sukari cha...
View ArticleMWAMNYANGE AZINDUA BARAZA LA USHAURI TCAA
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Monica Mwamyange akizungumza wakati wa uzinduzi wa Baraza la Ushauri wa Watumiaji wa Huduma ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA-CCC) na semina ya wadau wa usafiri wa...
View ArticleCHUMBA CHA HABARI CHA GAZETI LA JAMBO LEO NA STAA SPOTI CHAZIZIMA KWA HUZUNI...
Marehemu Ramadhani Kibanike enzi za uhai wake. Mhariri Mkuu wa Gazeti la Jambo Leo, Julian Msacky na Mwandishi wa Habari, Stela Kessy (kulia), wakiendelea na kazi huku wakiwa na hudhuni baada ya...
View ArticleTBL YAFANIKISHA SIKU YA WAKULIMA WA SHAYIRI MONDULI
Meneja Mradi wa Kilimo cha Shayiri TBL Dk. Basson Bennie akitoa elimu kwa wakulima na wadau mbalimbali namna sahihi ya kuandaa, kupanda zao la Shayiri wakati wa Siku ya Mkulima wa Shayiri iliyofanyika...
View ArticleKOMREDI KINANA ATUA KYERWA, AKAGUA SHAMBA BORA LA MIGOMBA, KAHAWA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitembelea shamba la mkulima bora wa migomba, Eurius Kishinju katika Kata ya Mabira, wilayani Kyerwa, mkoani Kagera. Kinana ambaye ameambatana na Katibu wa...
View ArticleKAMPUNI YA ASAS DAIRIES LTD KWA MWAKA WA TATU MFULULIZO YASHIKILIA TUZO YA...
Afisa masoko wa kampuni hiyo ya Asas Dairies Ltd Bw Jimmy Kiwelu (kulia) akiwa na wafanyakazi wenzake baada ya kutwaa tuzo ya ubora ya Kitaifa katika bidhaa za Asas Dairies Ltd Hii ndio kampuni...
View ArticleMKUTANO WA BARAZA KUU LA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO)
Ujumbe wa Tanzania unaendelea kushiriki katika kikao cha Mkutano Mkuu wa Kumi na saba wa Shirikia la Hali ya Hewa Duniani (WMO-Congress 17), mijini Geneva, nchini Uswisi. Ujumbe huo umeshiriki katika...
View ArticleKATIBU MKUU WA CHADEMA DR WILBROAD SLAA AKIWA ZIARANI BARANI ULAYA
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibroad Slaa akiwa na Mshauri wa Masuala ya Uchumi, Sayansi na Maendeleo ya Jamii katika ulimwengu wa dijiti (digital), Dk. Mario...
View ArticleMEMBE ANUSURIKA AJALI YA NDEGE, ZANZIBAR
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (pichani) , amenusurika kifo baada ya ndege aliyokuwa akisafiria kutoka Iringa kwenda Zanzibar kutaka...
View ArticleLOWASSA AZIDI KUVUNJA REKODI YA WADHAMINI, APATA 9516 MKOANI TABORA
Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM waliofika kumdhamini pamoja na wananchi wengine, kwenye viwanja vya ofisi za CCM Tabora...
View ArticlePINDA ACHUKUWA FOMU YA KUWANIA UTEUZI WA CCM KUGOMBEA URAIS
Baadhi ya wazee wa Dodoma waliofika kwenye ukumbi wa Halmashauri kuu ya taifa ya CCM kumsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza baada ya kuchukuwa fomu ya kuwania uteuzi wa CCM...
View ArticleSITTI MTEMVU ALIVYOBADILISHA MAUMIVU YA SIKU 30 KUWA BIASHARA
Aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Uingereza kuanzia mwaka 1940 hadi 1945 na kisha kurejea tena mwaka 1951 hadi 1955, Winston Churchill aliwahi kusema, “a pessimist sees the difficulty in every opportunity;...
View ArticleALI KIBA NA ABDU KIBA WALIVYOWARUSHA WASHINGTON DC..WAKISINDIKIZWA NA AJ UBAO
ALI KIBA NA MBWEMBWE ZAKE SASAALI KIBA NA ABDU KIBA WAKIWARUSHA JE UNAWAJUA HAWA ABDU KIBA ....ALI KIBA..NA PROMOTA "DMK GLOBAL " KABLA YA SHOW...
View ArticleMCHAKAMCHAKA WA KINANA WATUA WILAYANI NGARA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimuweka tone la chanjo mtoto wa miezi sita Innocent Noel wakati wa uzinduzi wa chanjo kwa watoto katika Zahanati ya Kashinja,Kata ya Nyakisasa, wilayani...
View ArticleUJUE WASIFU WA BERNARD MEMBE
Bernard Kamilius Membe alizaliwa tarehe 9 Novemba, 1953, Rondo, Chiponda, katika Mkoa wa Lindi, akiwa ni mtoto wa pili kati wa watoto saba (7) waliozaliwa katika familia ya Mzee Kamillius Anthony...
View ArticleMLEZI WA TANGA PRESS CLUB ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAI
Dkt, Mussa Korokola ambaye pia ni mlezi wa Tanga Press Club akionyesha mkoba wenye fomu alizochukua kwa ajili ya kuomba kugombea urai kwa tiketi ya chama cha mapinduzi mjini Dodoma Jana.
View ArticleDK. MALECELA ASAKA WADHAMINI KATIKA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti Magonjwa ya Binadamu Dk. Mwale Malecela pichani kabla ya kuingia katika chumba cha habari katika Redio ya Mwambao iliyopo Tanga eneo la Kange ndani ya...
View Article