WAZIRI MEMBE APATA WADHAMINI ZAIDI YA 800 KATIKA MIKOA YA LINDI NA MTWARA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, waliofika kwenye Ofisi ya...
View ArticleLOWASSA AZOA WADHAMINI 3,000 GEITA, CHATO NAKO APATA WA KUTOSHA
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa,(katikati), akipungia mkonomaelfu ya wana CCM na wananchi wengine waliofika kwenye ofisi za CCM wilayaniGeita Juni 8, 2015, kwa nia ya...
View ArticleWilliam Lukuvi awasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake kwa...
Waziri wa Aridhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akiwasilisha Makadirio ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2015/16 bungeni mjini Dodoma Juni 8, 2015, Waziri wa Ardhi, Nyumba na...
View ArticleRAIS DK.SHEIN NA UJUMBE WAKE WATEMBELEA KAMPUNI YA MAGARI MERCEDES- BENZ
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (watatu kulia) akiwa na ujumbe wake wakiapata maelezo kutoka kwa Adam Nowak M.A.Afisa anaehusika na ufundi wakati...
View ArticleKOMREDI KINANA AFANYA KWELI BUKOBA VIJIJINI
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa pili kushoto) akiwanyanyua mikono juu ikiwa ni ishara ya kiuwakabidhi msaada wa baiskeli makati wa matawi wa CCM Jimbo la Jmbo la Bukoba Vijijini wakati wa...
View ArticleWAZIRI BERNARD MEMBE AJINYAKULIA WADHAMINI WA KUTOSHA MKOA WA LINDI NA MTWARA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akishangiliwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, mara baada ya kufika...
View ArticleKupiga Picha Watenda Makosa Barabarani ni Kurekebisha Tabia
[caption id="attachment_58243" align="aligncenter" width="800"] Baadhi ya magari yanayopigwa picha njiani na raia wema na mabalozi wa usalama barabarani yakifanya makosa na picha zao kutumwa kituo cha...
View ArticleTBL YAPATA USHINDI WA USALAMA NA USAFI WA MAZINGIRA
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Raymond Mushi (kushoto), akikabidhi Cheti cha ushindi wa kwanza kwa Meneja Usalama na Mazingira wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Renatus Nyanda, kutambua mchango...
View ArticleAli Kiba na Abdul Kiba watua VOA
Kushoto promota wa Ali Kiba Marekani Dickson Mkama a.k.a DMK , Ali Kiba , Abdul Kiba na Sunday Shomari.2.Kina Kiba wakiwa na Kushoto mtangazaji wa VOA Khadija Riyami , Mamu na kulia kabisa Mr.Tz...
View ArticleSERIKALI KUTUMIA TEKNOLOJIA YA JENI KATIKA KUENDELEZA
Naibu Waziri, Wizara ya Ushirikiano wa Afika Mashariki, Mhe. Dkt. Abdullah Saadala, akijibu swali Bungeni Dodoma leo.Naibu Waziri, Wizara ya Kazi na Ajira, Mhe. Makongoro Nyerere (Mb) akijibu swali...
View ArticleKAMPUNI YA MIDEA YA CHINA YAINGIZA NCHINI VIYOYOZI VYA KISASA VINAVYOTUNZA...
Mkurugenzi Mkuu wa Changchun International Co.Ltd, Kelvin Zhao, akizungumza katika uzinduzi huo. Mwakilishi wa Masuala ya na Biashara wa China nchini Tanzania, Lin Zhiyong, akizungumza katika hafla ya...
View ArticleKOMREDI KINANA ATUA MISSENYI, AITAKA SERIKALI KUONDOA VIZUIZI MIPAKANI
ass="separator" style="clear: both; text-align: center;"> Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Missenyi mkoani Kagera ikiwa...
View ArticleWAZIRI BERNARD MEMBE APOKELEWA KWA KISHINDO MBEYA NA KUPATA WADHAMINI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na wananchi waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya...
View ArticleMUHONGO AANZA KUSAKA WADHAMINI URAIS TEMEKE
Mtangaza nia ya kutaka kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Profesa Sospeter Muhongo (kulia), akizungumza jambo na Katibu wa CCM wa Wilaya ya Temeke, Robert...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA APIGA MARUFUKU UCHIMBAJI MCHANGA...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akizungumza na wakazi wa Mbezi na Kawe Ukwamani ambao nyumba zao zilibomoka kutokana na mmomonyoko wa ardhi uliosababishwa na shughuli za kibinadamu kama vile...
View ArticleWIMBO WA KUMUAGA JK KUTOKA UJERUMANI KWA NGOMA AFRKA BAND
NYIMBO ZA KUMUAGA RAIS JAKAYA KIKWETE HEWANI ! SI WENGINE NI NGOMA AFRICA BAND AKA FFU -Ughaibuni yenye maskani kule ujerumani Mtunzi:Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja Waimbaji: Kamanda Ras...
View ArticleJK ALIPOKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO UHOLANZI JIJIJINI THE HAGUE
Watanzania waishio Uholanzi walikusanyika siku ya Jumatatu Juni 9, 2015 katika hoteli ya Crowne Plaza jijini The Hague kukutana na kumsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete aliyekuwa nchini humo kwa...
View Article