Quantcast
Channel: Kamanda wa Matukio OnlineTv
Browsing all 21733 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF YAWANUFAISHA YATIMA NA WAHUDUMU WA WAGONJWA MAHOSPITALINI

Mhasibu Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abdulkarim Kisuguru akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi misaada ya vyakula pamoja na vifaa vya shule katika Kituo cha Kulelea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOMREDI KINANA AHITIKISHA ZIARA KAGERA, ATUMIA USAFIRI WA MAGARI, MITUMBWI...

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Biharamulo leo,wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi cya chama hicho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI BERNARD MEMBE AHANI MSIBA WA MAREHEMU SALMIN AWADH SALMIN MJINI UNGUJA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akimpa mkono wa pole Bi. Mwaka Mohamed ambaye ni mjane wa aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM), marehemu Salmin Awadh Salmin...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO KATIKA MIKOA YA KATAVI

 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Katavi, Mselem Said Abdallah (shati la kitenge) akizungumza machache wakati wa kumkaribisha, Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia tiketi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BM HAIR & BEAUTY CLINIC WAZINDUA HUDUMA MPYA JIJINI DAR

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akikata utepe kuzindua huduma mpya za BM Hair and Beauty Clinic huku akisaidiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya BM Hair & Beauty Clinic, Benno Chelele leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARD 2015

KIKUNDI BORA CHA MWAKA - BONGO FLEVA - YAMOTO BANDKIKUNDI BORA CHA MWAKA TAARAB - JAHAZI MODERN TAARABBENDI BORA YA MWAKA - FM ACADEMIABENDI BORA YA MWAKA - FM ACADEMIA MSANII BORA CHIPUKIZI - BARAKA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sitta: Niliwahi kukataa rushwa ya Sh140 milioni

Waziri wa Uchukuzi, Samuel SittaWaziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema anasimama kifua mbele kupambana na rushwa kwa kuwa aliwahi kuikataa rushwa ya Dola 70,000 (sawa na Sh140,000) milioni).Sitta...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda AWASILI MPANDA NA KUPATA MAPOKEZI MAKUBWA-JUNI...

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia mkono wananchi wa Mji wa Mpanda waliofika kwenye uwanja wa ndege kumpokea wakati alipowasili mjini hapo akitoka Dodoma Juni 14,2015. Picha zote na Ofisi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI BERNARD MEMBE AHANI MSIBA WA MAREHEMU SALMIN AWADH SALMIN MJINI UNGUJA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akimpa mkono wa pole Bi. Mwaka Mohamed ambaye ni mjane wa aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM), marehemu Salmin Awadh Salmin...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya TZ leo JUNE 15 2015 kuanzia Udaku, Hardnews na Michezo

..........................................

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA, AONGOZA MAMIA MAZISHI YA BABA YAKE...

 Marehemu Francis Festus Mengele, enzi za uhai wake. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Francis Festus Mengele. Shangazi wa Msanii, Steve Nyerere,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BRAZIL WAICHAPA PERU COPA AMERICA,NEYMER ATUPIA

TIMU ya taifa ya Brazil imeanza vyema michuano ya mataifa ya America kusini (Copa America) baada ya kuibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya timu ya taifa ya Peru katika mechi ya ufunguzi ya kundi C...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAIFA STAR YATANDIKWA NA MISRI BAO 3

 Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, leo imepoteza mchezo wake wa kwanza kuwania kufuzu kwa fainali za AFCON mwaka 2017 baada ya kufungwa kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shehk mkuu wa tanzania Sheikh Shaaban Issa Simba Afariki dunia

Habari zilizotufikia hivi punde zinaarifu kuwa Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Shaaban Issa Simba amefariki dunia.Akidhibitisha kutokea kwa kifo hicho Shehe Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhadi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOMREDI KINANA, NAPE WAUNGURUMA WILAYANI CHATO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Chato,mkoani Geita,wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi cya chama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BILIONEA ALHAJI DANGOTE ALIRIDHIA UJENZI WA BANDARI YAKE MTWARA KWA...

 Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dangote, Alhaji Aliko Dangote, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia alipowasili kwenye uwanja wa Ndege mjini Mtwara jana kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO KABWE AWAHUTUBIA WAKAZI WA MKOA WA KAGERA KWA MARA YA KWANZA LEO

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, Akifurahia mara baada ya kutua Bukoba na tayari kuwahutubia wakazi wa mji wa Bukoba leo wakati wa mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Mashujaa/Uhuru...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPOKEZI YA MH. LOWASSA MJINI BUKOBA HAYANA MFANO, AZIDI KUDHAMINIWA KWA...

 Sehemu ya Wakazi wa mji wa Bukoba Mkoani Kagera wakiwa nje ya Uwanja wa Ndege wa Bukoba, wakimsubiri kumlaki Mtangaza nia ya Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mh. Edward Lowassa, tayari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA URAIS, DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, ARUDISHA FOMU ZA URAIS MJINI DODOMA

 Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi  CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Fomu zake za kuwania urais, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Rajab Luhwavi, wakati alipowasili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA WATOA SALAAM ZA POLE NA RAMBIRAMBI MSIBA WA MUFTI MKUU SHEIKH SIMBA

  CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA).SALAAM ZA POLE NA RAMBIRAMBI MSIBA WA MUFTI MKUU SHEIKH SIMBA.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa...

View Article
Browsing all 21733 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>