Quantcast
Channel: Kamanda wa Matukio OnlineTv
Viewing all 21879 articles
Browse latest View live

BODI YA NHC YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA UJENZI WA NYUMBA JIJINI ARUSHA

$
0
0


Ujumbe wa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHC ukiwa eneo linalomilikiwa na  NHC ambalo ujenzi wa Mji wa kisasa umeanza wakionyeshwa na Meneja wa NHC Mkoa wa Arusha Bw. James Kisarika chemchemu za maji yanayotiririka walipotembelea eneo hilo lenye hali ya hewa ya aina yake Jijini Arusha jana.

Usariver ni Arusha Tanzania ambapo NHC Shirika lenye dhamana ya kujenga nyumba bora hapa nchini limeanza kupanga mji huo wenye mandhari na hali ya hewa ya kuvutia. Hapa wajumbe wa Bodi ya NHC na watendaji wa NHC wanafurahia mpango wa kuendeleza eneo hilo lenye ekari 300 linalomilikiwa na NHC.


Hii ndiyo hatua ya ujenzi iliyokwishafikiwa hivi sasa katika ujenzi wa nyumba za gharama ya kati aina ya “town houses” zinazojengwa na NHC Wilayani Monduli kwa ajili ya watumishi wa Halmashauri hiyo.




TBL YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA SH. MIL.22 KITUO CHA AFYA KAMBI YA SIMBA WILAYANI KARATU

$
0
0
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin akipokea zawadi ya fimbo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa kijiji wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu ivi karibu, ambapo Kiwanda hicho kilikabdhi vifaa vyenye thamani ya Sh. Milioni 22.
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin akikabidhi baadhi ya vifaa vya Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba wilayani Karatu mkoani Arusha kwa baadhi ya viongozi wa Serikali ya Kijiji hicho, ambapo Kampuni hiyo ya Bia ilitoa vifaa vyenye thamani ya Sh.Milioni 22.

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin Robert Jarrin akipokea zawadi ya fimbo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa kijiji wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu ivi karibu, ambapo Kiwanda hicho kilikabdhi vifaa vyenye thamani ya Sh. Milioni 22.



 Afisa Uhusiano wa TBL Dorris Malulu akizungumza na baadhi ya viongozi Serikali ya Kijiji pamoja na uongozi wa Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu mkoani Arusha wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa mbalimbali vya kituo hicho vyenye thamani ya Sh. Milioni 22, Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin na kushoto kwake ni Meneja Mradi Kilimo cha Shayir Dk. Basson Bennie.

 Mwananchi wa Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu ambacho ni maarufu kwa ulimaji wa zao la Shayiri akimkabidhi Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin mara baada ya kukabidhi Kituo  cha Afya cha Kijiji hicho vifaa mbalimbali vya matibabu.
 Maofisa wa TBL wakibadilishana mawazo wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa kwa Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo wilayani Karatu, katikati ni Afisa Uhusiano Dorris Malulu, kushoto kwake ni Mkurugenzi Jarrin na kulia kwake ni Meneja mradi wa Kilimo cha Shayiri Dk. Basson

 Mkurugenzi wa Kiwanda cha TBL Robert Jarrin akiwa anangalia baadhi ya vifaa na Mganga wa Hospitali ya wi;aya ya Karatu Dk. Lucas wakati wa makabidhiano ya vifaa vya Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba Kata ya Mbulumbulu.
 Mwenyekiti wa Kijiji cha Kambi ya Simba Damian Anatholi akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa mbalimbali vya Kituo cha Afya cha Kijiji hicho ambacho ni maarufu sana kwa kilimo cha Shayiri.

 Mwenyekiti wa Kijiji cha Kambi ya Simba Damian Anatholi akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrinwakati wa hafla ya kukabidhi vifaa mbalimbali vya Kituo cha Afya cha Kijiji hicho ambacho ni maarufu sana kwa kilimo cha Shayiri.

 Mganga wa Mfawidhi wa wilaya ya Karatu Dk. Lucas akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya vifaa vya hospitali kwa ajili ya kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu mkoani Arusha.

 Mkurugenzi wa TBL Robert Jarrin akiwa pamoja na Meneja Mradi wa Kilimo cha Shayiri Dk. Basson wakitembelea jengo la Kituo cha Afya cha Kijiji cha Simba kilichopo Kata ya mBULUMBULU wilayani Karatu wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya hospitali kwenye kituo hicho.
Mganga wa wilaya ya Karatu Dk. Lucas akibadilishana na mawazo pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya hospitali kwa Kituo cha Afya cha Kijiji cha Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu mkoani Arusha.

MIILI YA WANAJESHI WALIOFARIKI CONGO IMEAGWA RASMI CONGO TAYARI KURUDISHWA NYUMBANI KWA AJILI YA SHUGHULI ZA MAZISHI

$
0
0

Askari wa Jeshi la Tanzania wakiaga miili ya askari waliofariki huko DRC.
Jeshi la umoja wa mataifa linalolianda amani kaskazini mashariki mwa nchi ya kongo DRC wameanza harakati za kusafirisha miili ya askari wawili wa kitanzania kuja kuzikwa nyumbani baada ya kuuwawa katika shambulio la kigaidi huko beni.

MVUA ZILIVYOATHIRI DARAJA LA KIVULE JIJINI DAR

$
0
0

Daraja la Kivule lilivyoathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar.Magari yakipita eneo hilo la daraja kwa tabu.Mkondo wa maji yanayopita darajani hapo.

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI TAREHE 9.5.2015

WATU 12 WAOKOLEWA BAADA YA NYUMBA ZAO KUZINGIRWA NA MAJI ENEO LA KINONDONI MKWAJUNI JIJINI DAR

$
0
0



Watu takribani 12 wamearifiwa kuokolewa kutoka ndani ya nyumba zao baada ya kuzingirwa na maji eneo la Kinondoni Mkwajuni jijini Dar es salaam kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini hapa. Zeozi hili la uokozi limefanywa na kikosi cha zima moto kutoka Ilala pamoja na vijana wa skauti.


Licha ya zoezi hilo kupata mafanikio kwa kuokoa watu wote ambao afya 
zao zilikuwa salama vurugu pia zilijitokeza baada ya kundi moja la vijana kupinga zoezi hilo bila ya kuwa na sababu yoyote ya msingi.

Chanzo: ITV Tanzania


HABARI MPASUKOOO!!!!!!!!! MAJAMBAZI YAMPORA MUASIA MAMILIONI YA SHILINGI DAR

$
0
0
Dereva na raia mwenye asili ya kiasia wakiwasiliana kwa simu na watu wao wa karibu sekunde chache baada ya majambazi kuwapora kiasi cha fedha kisichojulikana mchana majira ya saa 6 karibu na mataa ya Chang'ombe, Dar es Salaam. PICHA, HABARI  NA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG.

MAJAMBAZI wamempora raia mwenye asili ya kiasia kiasi cha fedha kisijoulikana baada ya kumtishia kwa bastola akiwa kwenye gari dogo karibu na mataa ya Chang'ombe, Dar es Salaam.

Tukio hilo lililoshuhudiwa na mwandishi wa habari hizi, aliyekuwa kwenye daladala, lilitokea majira ya saa 6 mchana wa leo, ambapo majambazi hao wawili waliokuwa kwenye pikipiki aina ya Discover waliteremka haraka na mmoja wao mwenye bastola alitoa na kuwatishia waliokuwa kwenye gari kwa kuwaamuru kuwapatia haraka fedha.

Wakati jambazi mwenye siraha akitishia hivyo kupitia dirisha la dereva, mwingine asiyekuwa na silaha alikuwa dirisha alilokuwa amekaa raia huyo mwenye asili ya kiasia, ambaye baada ya kuona hivyo alitoa furushi lenye fedha na kumkabidhi haraka jambazi huyo.

Tukio hilo lilichukua takribani dakika tatu, ambapo baada ya kufanikiwa waendesha pikipiki walikaribia na kuwachukua majambazi hao na kutokomea kuelekea upande wa Tazara.

Asilimia kubwa ya abiria waliokuwa ndani ya daladala na magari mwengine yaliyokuwa karibu na tukio hilo waliogopa na wengi wao waliamua kujinusuru kwa kuinama chini li wasidhurike.

Hadi tunaondoka hapo hakuna polisi yeyote aliyekuwa amefika kwa ajili ya upepelezi zaidi wa tukio hilo.

DC MPESYA AWAMWAGIA SIFA WAFANYAKAZI MGODI WA BUZWAGI, NI KATIKA SHEREHE ZA KUWAPATIA TUNZO

$
0
0


Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Benson Mpesya, (kushoto), akitoa maelezo wakati wa kumpatia zawadi za kimila, Shuka ya rubega, mkuki na ngao, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Acacia, Brad Gordon, (kulia), wakati wa hafla ya kuwatunuku wafanyakazi waliohudumu kwa muda mrefu kwenye kampuni hiyo, na wengine 10 walizawadiwa kwa kufanya kazi kwa kuzingatia sera mpya ya Acacia ya tabia sita (six desired behavior), kama kipimo cha utendaji bora wa kazi ambapo ni pamoja na kushirikiana na kufanya kazi kwa uwazi, kutambua ubora wa mfanyakazi na kumuwajibisha anapokengeuka, kupanga kazi na kutenda, kufanya kile ulichopanga kufanya, kufanya kazi kwa wepesi, na kujiendeleza ili kuwa bora katika utendaji wa kazi wa kila siku. Katika hotuba yake, Mkuu huyo wa wilaya ambaye alikuwa mgeni rasmi, kwenye sherehe hiyo ambayo ilikuwa maalum kuwatunuku wafanyakazi wa mgodi wa Buzwagi, unaomilikiwa na Kampuni ya Acacia, na kufanyika Alhamisi usiku wa kuamkia leo Ijumaa Mei 8, 2015, aliwamwagia sifa wafanyakazi wa mgodi huo hususan uongozi mpya chini yaa Brad, kwa kuja na sera mpya ambayo sio tu inawajali wafanyakazi bali pia wananchi wanaozunguka mgodi huo ikiwemo serikali.

Brad katika vazi la kiasili baada ya kutunzwa na wafanyakazi kwa kuleta mabadiliko katika utendaji kazi wa migodi iliyo chini ya kampuni ya Acacia, ikiwemo Buzwagi

Meneja Mkuu wa kampuni ya Acacia, anayeshughulikia udthabiti wa kampuni hiyo, (GM-Organizational Effectiveness), Janet Reuben-Lekashingo, (kulia), akimkabidhi cheti Isack John Nkulu, kwa utumishi wa muda mrefu kwenye kampuni hiyo. Kushoto ni Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi, Filbert Rweyemamu

Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Mgodi wa Buzwagi, Blandina Munghezi, (katikati), akipewa cheti cha utumishi wa muda mrefu katika kampuni ya Acacia, inayomiliki mgodi huo

Brad, akimkabidhi tuzo ya ufanyakazi uliotukuka, Hashim Waziri, katukati ni Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi, Filbert Rweyemamu

Meneja wa Biashara, (Commercial Manager), wankampuni ya Acacia, Jason Watson, (kushoto), Meneja Mkuu wa Mgodi wa Bulyanhulu, Michell Ash, (kulia), na Meneja wa Mgodi wa North Mara anayeshughulikia uthabiti wa Mgodi, (Effectiveness), Solomon Rwangabona, wakifurahia jambo

Michell, akiteta jambo na Rweyemamu, (kulia)

Sehemu ya wafanyakazi waliohudhuria sherehe hiyo

Michell akimpongeza Meneja anayeshughulikia uthabiti wa Mgodi wa Buzwagi, Sanga, kwa maandalizi mazuri ya sherehe hiyo

Brad, akimkabidhi cheti cha kutambua ufanyazi uliotukuka wa Thompson Paraxceed Francis katika Mgodi wa Buzwagi huku Meneja Mkuu wa Mgodi huoi, Filbert Rweyemamu akishuhudia

Wafanyakazi wakipatiwa utaratibu wakati wa kupokea zwadi na tuzo

Brad, akiwahutubia wafanyakzi wake

Meneja Mkuu, Rweyemamu akitoa hotuba yake

Simon Sanga, akitoa hotuba yake na kuelezea utaratibu na vigezo vilivyotumika kuwapata wafanyakazi bora na wale wa muda mrefu

Mpesya, Kushoto), a,kiagana na Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa Mgodi wa Buzwagi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP), Mstaafu Jamal Rwambow, huku Meneja Mkuu wake, Rweyemamu akishuhudia, mwishoni mwa hafla hiyo

Wasanii wa kikundi cha sanaa cha Kahama Medical Cultural GHroup, wakifanya vitu vyao huku Tumbili (kushoto) nayw akiruka kufuata midundo ya ngoma

RAIS KIKWETE AANZA ZIARA ALGERIA

$
0
0
 Rais was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili mjini Algiers, mji mkuu wa Algeria, mchana wa leo, Jumamosi, Mei 9, 2015 kuanza ziara rasmi ya Kiserikali ya siku tatu katika nchi hiyo rafiki wa miaka mingi wa Tanzania kwa mwaliko wa Rais Abdelaziz Bouteflika.
 Rais was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria Mheshimiwa Abdelmalek Sellal alipowasili mjini Algiers, mji mkuu wa Algeria, mchana wa leo, Jumamosi, Mei 9, 2015 kuanza ziara rasmi ya Kiserikali ya siku tatu katika nchi hiyo rafiki wa miaka mingi wa Tanzania kwa mwaliko wa Rais Abdelaziz Bouteflika.


 Rais was Jamhuri ya Muungano waTanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa
na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria Mheshimiwa Abdelmalek Sellal alipowasili mjini Algiers, mji mkuu wa Algeria, mchana wa leo, Jumamosi, Mei 9, 2015 kuanza ziara rasmi ya Kiserikali ya siku tatu katika nchi hiyo rafiki wa miaka mingi wa Tanzania kwa mwaliko wa Rais Abdelaziz Bouteflika.



 Rais was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiongea na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria Mheshimiwa Abdelmalek Sellal alipowasili mjini Algiers, mji mkuu wa Algeria, mchana wa leo, Jumamosi, Mei 9, 2015 kuanza ziara rasmi ya Kiserikali ya siku tatu katika nchi hiyo rafiki wa miaka mingi wa Tanzania kwa mwaliko wa Rais Abdelaziz Bouteflika.
  Bendera za Tanzania na Algera zikiwa zimepamba jiji la Algiers, Algeria, ambako Rais was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mchana wa leo, Jumamosi, Mei 9, 2015 kuanza ziara rasmi ya Kiserikali ya siku tatu katika nchi hiyo rafiki wa miaka mingi wa Tanzania kwa mwaliko wa Rais Abdelaziz Bouteflika.


Rais was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini Algiers, mji mkuu wa Algeria, mchana wa leo, Jumamosi, Mei 9, 2015 kuanza ziara rasmi ya Kiserikali ya siku tatu katika nchi hiyo rafiki wa miaka mingi wa Tanzania kwa mwaliko wa Rais Abdelaziz Bouteflika.


Rais Kikwete amewasili katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria akitokea New York, Marekani, ambako kwa wiki nzima amekuwa anaendesha vikao vya Jopo la Watu Mashuhuri Duniani ambao wanatafuta jinsi gani dunia inaweza kujiandaa vizuri zaidi kukabiliana na majanga ya afya, na hasa magonjwa ya milipuko, katika siku zijazo kufuatia balaa la ugonjwa wa Ebola katika nchi za Afrika Magharibi za Guinea, Liberia na Sierra Leone.Kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Houari Boumediene mjini Algiers,

Rais Kikwete amepokelewa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria Mheshimiwa Abdelmalek Sellal kabla ya kuelekea kwenye Kasri ya Kirais ya Zeralda ambako amefikia.Baadaye jana jioni, Rais Kikwete ameweka shada la maua kwenye Mnara wa Taifa kwa heshima ya wanamapinduzi waliopoteza maisha yao katika vita vya ukombozi wa kuwania uhuru wa Algeria kutoka kwa Wafaransa.

Algeria ilipata uhuru kutoka kwa Wafaransa mwaka 1962 baada ya vita kali ya ukombozi ya miaka minane, ambako pia wananchi wanaokadiriwa milioni mbili walipoteza maisha yao.Baadaye, Rais Kikwete pia amembelea Jumba la Makumbusho la Mashujaa wa Vita ya Ukombozi mjini Algiers.

Kesho, Jumapili, Mei 10, 2015, Rais Kikwete atahudhuria dhifa ya kitaifa ambayo itaandaliwa kwa heshima yake na Waziri Mkuu ambaye atafanya naye mkutano rasmi kabla ya dhifa.

Baadaye, Rais atakwenda kwa mazungumzo rasmi ya Kiserikali na Rais Abdelaziz Bouteflika, ambaye mwaka jana alichaguliwa tena kwa mara ya nne kuongoza Algeria tokea alipochaguliwa kuwa Rais  kwa mara ya kwanza mwaka 1999 baada ya kutumikia kama

Waziri wa Mambo ya Nje ya nchi yake kwa miaka mingi. Tokea 1999, alichaguliwa tena 2004, mwaka 2009 na mwaka jana.

           Tanzania na Algeria zimekuwa marafiki wa karibu kwa miaka mingi tokea uhusiano ulipoanzishwa na waanzilishi wa mataifa hayo mawili, Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Hayati Ben Bella. Kwa hakika, Algeria ilikuwa moja ya nchi chache duniani zilizoisaidia sana Tanzania wakati wa Vita ya Kagera dhidi ya Idi Amin.

Tanzania pia imekuwa inapata misaada mikubwa kutoka Algeria katika sekta za gesi a elimu na katika kitendo kilichothibitisha ukaribu kati ya Tanzania na Algeria, mwaka 2010, Algeria iliifutia Tanzania kiasi cha dola za Marekani milioni 144. Kiasi hicho kilikuwa ni pamoja na deni la awali la dola milioni 58.03, deni ambalo liliongezeka kwa sababu ya mikopo ya mafuta ambayo Tanzania ilikuwa inapata kutoka Algeria na riba.


MUHIMBILI SASA KUANZA KUZIBA MATUNDU YA MOYO BILA UPASUAJI

$
0
0
 Daktari Benher Wankede (katikati) akionesha mfano kwa kuendesha mashine inayotumia kifaa maalumu kumfanyia ukinachotumika katika upasuaji kwa kuziba matundu yaliyoko kwenye moyo bila ya kufungua kifua kama ilivyozoeleka awali katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam jana. Mgonjwa aliyelazwa  kwenye mashine hizo ni Aikande Zakaria.  Kushoto ni Polycarp France na kulia ni OfisaMuuguzi wa hospitali hiyo Joyce Nnembuka. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)


0566.Daktari Bingwa Magonjwa ya Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili na Kaimu Mkuu wa Idara ya Tiba na Upasuaji katika kitengo hicho,akizungumza na Waandishi wa Habari pichani hawapo wanavyofanya Tiba ya Moyo bila  ya kufanya Upasuaji kwa kuziba matundu yaliyoko kwenye moyo kwakutumia Kifaa maalum bila ya kufungua kifua kama ilivyo zoeleka(PICHA NA KHAMISI MUSSA) 
.Daktari Bingwa Magonjwa ya Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili na Kaimu Mkuu wa Idara ya Tiba na Upasuaji katika kitengo hicho,akizungumza na Waandishi wa Habari na kuwaonyesha matumizi ya mirija ya Plastiki(CATHETER) unavyo fanya kazi wakati wa Oparesheni hiyo Dar es Salaam jana(PICHA NA KHAMISI MUSSA)

SIMBA YAIFUNGA RUVU JKT 2-1 YAISHUSHA DARAJA

$
0
0
Wachezaji wa Simba na Ruvu JKT wakiwania mpira  wakati wa mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda mabao 2-1 na hivyo kushika nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi hiyo. (PICHA NA KASSIM MBAROUK)


Mchezaji Jonas Mkude wa Simba, akiwania mpira na Jaffary Kissoky wa JKT Ruvu wakati wa mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda mabao 2-1 na hivyo kushika nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi hiyo. (PICHA NA KASSIM MBAROUK)

NAPE ASHIRIKI UZINDUZI WA KLABU YA JOGGING TEGETA, DAR

$
0
0
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye pamoja na viongozi wengine na makada wa CCM wakishiriki mazoezi ya kukimbia mchaka mchaka yalioandaliwa na kikundi cha Tegeta Jogging and Sports Clubikiwa sehemu ya uzinduzi wa klabu hiyo ya michezo na mazoezi ya Tegeta.

 Kikundi cha Msasani Jogging kikishiriki mazoezi  ya viungo kwenye uwanja wa Tegeta shule wakati wa sherehe za uzindiz wa klabu ya michezo na mazoezi ya Tegeta Jogging and Sports Club ambapo mgeni rasmi alikuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akishiriki mazoezi ya kukimbia mchaka mchaka yalioandaliwa na kikundi cha Tegeta Jogging and Sports Club .
Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es salaam Juma Simba Gadafi akiwasalimia vikundi vilivyoshiriki sherehe hizo za uzinduzi wa klabu ya michezo na mazoezi ya Tegeta (picha zote na Adam Mzee)
Watoto Mohamed Said nwenye umri wa miaka 14  (kushoto) Mbwana Sharifu mwenye umri wa miaka 13 kutoka Fanja Jogging wakipasha misuli kabla ya kuanza mchaka mchaka.

FILIKUNJOMBE AKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI VYENYE THAMANI YA SH. MIL 40 KIJIJI CHA MAVANGA

$
0
0
Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Mavanga mara baada ya kukabidhi msaada wa vitu vyenye thamani ya Tsh milioni 40( Picha na Francis Godwin)

MSIMAMO WA LIGI KUU SOKA TANZANIA BARA MARA BAADA YA MECHI ZA MWISHO JANA

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

Article 5

$
0
0

MAGAZETI LEO JUMAPILI TAREHE 1O.O5.2O15




NUKUU MWANANA YA MWALIMU NYERERE

MANCHESTER UNITED WAITANDIKA CRYSTAL PALACE

$
0
0

Marouane Fellaini celebrates his header which proved to be the winner for Manchester United in their 2-1 win over Crystal Palace

Marouane Fellaini celebrates his header which proved to be the winner for Manchester United in their 2-1 win over Crystal Palace
Fellaini wheels away in celebration after finding the back of the net in the 78th minute for United
Fellaini wheels away in celebration after finding the back of the net in the 78th minute for United
Fellaini heads home from close range to claim three points for Louis van Gaal's side on Saturday at Selhurst Park
Fellaini heads home from close range to claim three points for Louis van Gaal's side on Saturday at Selhurst Park
Juan Mata takes over the penalty duties after recent failures from the spot to give Manchester United a 1-0 lead over Crystal Palace
Mata makes no mistake as his left-footed strike beats the right hand of Palace keeper Julian Speroni and is buried in the bottom corner
Mata makes no mistake as his left-footed strike beats the right hand of Palace keeper Julian Speroni and is buried in the bottom corner
Mata takes his opportunity after Wayne Rooney was stripped of penalty-taking duties by manager Louis van Gaal
Mata takes his opportunity after Wayne Rooney was stripped of penalty-taking duties by manager Louis van Gaal
United and England captain Rooney is the first to join in the celebrations with the Spanish forward after his side takes the ascendancy 
United and England captain Rooney is the first to join in the celebrations with the Spanish forward after his side takes the ascendancy 
Ashley Young (left), whose cross drew the penalty, and Ander Herrera (right) join in on the congratulations for Mata 
Ashley Young (left), whose cross drew the penalty, and Ander Herrera (right) join in on the congratulations for Mata 
Wilfried Zaha had plenty to prove after is short-lived time at United and his speed, and that of his team-mates, proved a handful
Wilfried Zaha had plenty to prove after is short-lived time at United and his speed, and that of his team-mates, proved a handful
Young delivers the dangerous low cross around returning Crystal Palace captain Mile Jedinak that leads to the penalty
Young delivers the dangerous low cross around returning Crystal Palace captain Mile Jedinak that leads to the penalty
Palace defender Scott Dann (left) leans to his right to block the cross before referee Michael Oliver judges the contact to be handball
Palace defender Scott Dann (left) leans to his right to block the cross before referee Michael Oliver judges the contact to be handball
The home side remonstrates with Oliver but to no avail before Mata slots the penalty for the opener in the late kick-off at Selhurst Park
The home side remonstrates with Oliver but to no avail before Mata slots the penalty for the opener in the late kick-off at Selhurst Park
Shaw, with a suspected concussion, is assessed by the United medical staff before he's is forced to be substituted
Shaw, with a suspected concussion, is assessed by the United medical staff before he's is forced to be substituted
A stretcher is brought onto the pitch  to help injured Shaw off after his side took a 1-0 lead through Mata's penalty
A stretcher is brought onto the pitch to help injured Shaw off after his side took a 1-0 lead through Mata's penalty
Shaw lays still with his eyes closed as he's removed from the playing surface before being replaced by Jonny Evans
Shaw lays still with his eyes closed as he's removed from the playing surface before being replaced by Jonny Evans
Jedinak raises his foot high while he and Fellaini watch the falling ball closely in a tussle of two of the strongest players on the pitch
Jedinak raises his foot high while he and Fellaini watch the falling ball closely in a tussle of two of the strongest players on the pitch
Rooney favours his thigh after suffering an injury that was deemed to be serious enough for United's talisman to be substituted 
Rooney favours his thigh after suffering an injury that was deemed to be serious enough for United's talisman to be substituted 
Rooney winces as he receives treatment on the pitch for his hurt thigh while Young and referee Oliver watch on
Rooney winces as he receives treatment on the pitch for his hurt thigh while Young and referee Oliver watch on
Rooney tests his leg out during the half-time interval to assess whether he will be right to continue in the match
Rooney tests his leg out during the half-time interval to assess whether he will be right to continue in the match
It was decided Rooney wasn't fit to go on and he was replaced at the break by United's Colombian striker Radamel Falcao
It was decided Rooney wasn't fit to go on and he was replaced at the break by United's Colombian striker Radamel Falcao
Jason Puncheon strikes his free-kick sweetly at the edge of the Manchester United wall before it beats David de Gea
Jason Puncheon strikes his free-kick sweetly at the edge of the Manchester United wall before it beats David de Gea
United's Daley Blind raises his left arm in front of his face as the well-struck ball meets his head and skims off towards the goal
United's Daley Blind raises his left arm in front of his face as the well-struck ball meets his head and skims off towards the goal
The deflection from Blind's head does little to slow the progress of the ball as it loops into the back of De Gea's net
The deflection from Blind's head does little to slow the progress of the ball as it loops into the back of De Gea's net
United's wall of Blind, Chris Smalling and Fellaini can do no more than turn and watch as Puncheon's shot finds the back of the net 
United's wall of Blind, Chris Smalling and Fellaini can do no more than turn and watch as Puncheon's shot finds the back of the net 
Puncheon, having come on as a half-time substitute, celebrates accordingly after his goal in the 57th-minute for Alan Pardew's side
Puncheon, having come on as a half-time substitute, celebrates accordingly after his goal in the 57th-minute for Alan Pardew's side
Puncheon appears to be singing in honour of his fifth goal in what has been a relatively lean season by his expectations 
Puncheon appears to be singing in honour of his fifth goal in what has been a relatively lean season by his expectations 
Glenn Murray has a chance from point blank to bring his side back level
United keeper David de Gea advances to cut down the angle
Palace striker Glenn Murray has a chance from point blank to bring his side back level but is met by prodigious keeper David de Gea
Palace striker Murray's shot is lifted over De Gea's outstretched leg but can't beat the Spanish keeper's strong right hand
The Palace fans gasp as what looked to be a certain goal goes begging
Murray's shot goes over De Gea's outstretched leg but can't beat the Spanish keeper's strong right hand and the chance went begging
De Gea raises his fists in the air to the away fans after yet another starring performance from the Spanish goalkeeper
De Gea raises his fists in the air to the away fans after yet another starring performance from the Spanish goalkeeper
United captain Rooney makes a beeline to De Gea to show his appreciation for yet another match-winning performance from his stopper
United captain Rooney makes a beeline to De Gea to show his appreciation for yet another match-winning performance from his stopper
The scorer of the winner Fellaini and the saver of several seemingly certain opportunities for his side to go down De Gea embrace
The scorer of the winner Fellaini and the saver of several seemingly certain opportunities for his side to go down De Gea embrace
Crystal Palace's cheerleaders, The Crystals, arrive on the sideline to provide entertainment for the crowd and support for their team
Crystal Palace's cheerleaders, The Crystals, arrive on the sideline to provide entertainment for the crowd and support for their team
Viewing all 21879 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>