Baadhi ya matukio yaliyojiri Bungeni hii leo June 7, 2017
Attachments areaPreview YouTube video Majibu Ya Serikali Kuhusu Tarafa Ya MimaMajibu Ya Serikali Kuhusu Tarafa Ya MimaPreview YouTube video Suala La Serikali Kuwakopesha Watumishi MagariSuala La...
View ArticleHII NDIYO ILE ISHU YA KIUNGO WA MBAO FC ALIYEPANDA NDEGE KWENDA DAR KUSAINI...
Klabu ya Simba imepania kufanya makubwa katika msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kumpandisha ndege kiungo mchezeshaji wa Mbao FC, Pius Busita ili awahi kusaini...
View ArticleHekaheka ya mwanamke aliyeiba mtoto na kumbadilisha jina
7Baada ya June 6, 2017 kupitia Hekaheka ya Leo Tena ya Clouds FM kuripotiwa taarifa ya mwanamke mmoja Shinyanga kumuiba mtoto na kumbadilisha jina..story mpya leo June 7, 2017 kupitia Hekaheka pia...
View ArticleDiamond kataja moja ya vigezo vya kujiunga na familia ya WCB
SHARETWEETSHARESHARECOMMENTSMwimbaji staa wa Bongofleva kutoka WCB Diamond Platnumz amefunguka kupitia 255 ya XXL ya Clouds FM na kusema kuwa sifa ya kwanza ya WCB ni kumtoa msanii kwenye hali ngumu...
View ArticleSAFARI YA MWISHO YA BALOZI ABDULCISCO OMAR MTIRO
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Balozi Abdulcisco Omar Mtiro almarufu kama CISCO likiwa nyumbani kwake Mikocheki B, Jijini Dar es salaam tayari kwa ibada ya kuuaga mwili kabla ya kwenda kuuhifadhi...
View ArticleMchekeshaji Steve Nyerere awekwa motoni kutokana na sakata ya kimapenzi ya...
0Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA, Freeman Mbowe ambaye pia ni mbunge wa Hai na Wema Sepetu wamekua wakitawala vichwa vya habari tangu sauti (voice note) ambazo zinadaiwa kuwa zao kuenea kwenye mitendao...
View ArticleCisco msiba wa Dar Es Salaam
Na Benny KisakaAbdulkarim Omary Mtiro, almaarufu Cisco Mtiro, umelala Brother tangulia. Umelala usingizi. Usingizi ambao hautaamka wakati huu. Hautaamka brother kwa kuwa wanaolala usingizi huu...
View ArticleHABARI KUTOKA TELEVISHENI
Preview YouTube video Wabunge Waishauri Serikali Kuelekea Uwasilishwaji Wa Bajeti KuuWabunge Waishauri Serikali Kuelekea Uwasilishwaji Wa Bajeti KuuPreview YouTube video ACT Wazalendo Wampongeza Rais...
View ArticleYaliyojiri magazetini hii leo June 8, 2017.
Preview YouTube video Magazeti June 8 TBCMagazeti June 8 TBCPreview YouTube video Magazeti June 8 CH 10Magazeti June 8 CH 10
View ArticleUJUE WASIFU BABKUBWA WA PROFESA MWANDOSYA
PROFESA MARK MWANDOSYAKwa hakika kabisa. Cv hii imeshiba. Nimefurahishwa na WASIFU na MAELEZO BINAFSI YA PROFESA M. J. MWANDOSYA, naamua kumpatia heshima kubwa ya uwezo alionao kielimu na Mungu...
View ArticleTANZANIA YA TANO KWA WINGI WA WATU AFRIKA
Tanzania ni nchi ya tano kwa wingi wa watu Afrika. nchi zingine ni Nigeria, Ethiopia, Misri na DRC Congo.Hayo yamesemwa leo bungeni, Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, alipokuwa...
View ArticleKUHUSU ACT-WAZALENDO NA ANNA MGHWIRA
Kwa siasa za kistaarabu. Siasa za ujenzi wa jamii na nchi moja kama ambavyo mataifa makubwa yaliyopevuka kidemokrasia hufanya, uteuzi wa Anna Mghwira, Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo kuwa Mkuu wa Mkoa wa...
View ArticleKILIMANJARO DIALOGUE YAENDESHA MJADALA WA USAFI WA MAZINGIRA
Msemaji wa Taasisi ya Kilimanjaro Dialogue Habibu Miraji akizungumza na Ofisa wa Mazingira Manispaa ya Ilala, Ester Masomhe (wa pili kulia)pamoja na waandishi wa habari, Dar es Salaam, ambapo...
View ArticleBunge la Seneti kuchapisha ushahidi unaomshutumu Rais Trump
Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzakoImage captionRais Trump na James ComeyKamati ya Bunge la Seneti la masuala ya usalama nchini Marekani imechapisha ushahidi utakaotolewa na mkurugenzi...
View ArticleKorea Kaskazini yarusha kombora la kushambulia meli
Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpyaSambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzakoHaki...
View ArticleBiashara ya pombe yashuka kote Duniani
Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpyaSambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzakoHaki...
View ArticleMabaki ya ndege ya Myanmar na maiti za abiria zapatikana baharini
Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpyaSambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzakoHaki...
View ArticleNusu fainali kombe la dunia la vijana kuchezwa leo
Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpyaSambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzakoHaki...
View Article