KUMBUKIZI;TEAM KINANA IKIWA BUKOBA KIKAZI
Waandishi wa habari waliokuwa katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Abdulrahman Kinana ya kuimarisha uhai wa chama hicho miaka miwili iliyopita. Kutoka kushoto ni Mpigapicha Mkuu wa Gazeti la...
View ArticleROSE MHANDO ASHIKILIWA POLISI KWA TUHUMA ZA UDANGANYIFU
Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia mwanamuziki mashuhuri wa nyimbo za injili, Rose Muhando akituhumiwa kujipati fedha kwa njia ya udanganyifu.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Kamishna...
View ArticleMWILI WA HALILA TONGOLANGA WAAGWA
Halila Tongolanga amefariki jana usiku katika hospitali ya Muhimbili. Alikuwa mwanamuziki wa siku nyingi na alifahamika kwanza kwa wengi baada ya kuanza kusikika kibao chake cha lugha ya Kimakonde cha...
View ArticleRAIS MAGUFULI AMUAPISHA RASMI ANNA NGHWIRA KUWA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO
Rais John Magufuli akimuapisha Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Ikulu jijini Dar es Salaam
View ArticleYaliyojiri magazetini hii leo June 6, 2017.
Attachments areaPreview YouTube video Magazeti June 6 TBCMagazeti June 6 TBCPreview YouTube video Magazeti June 6 CH 10Magazeti June 6 CH 10
View ArticleMARUFUKU KUFANYA SHUGHULI ZA KIBANADAMU NDANI YA MITA 60 YA VYANZO VYA...
Wananchi wilayani Handeni wapigwa marufuku kufanya shughuli za kibinadamu ndani ya mita 60 kutoka katika vyanzo vya maji na kutakiwa kutunza mazingira ili kuwezesha uendelevu wa maisha.Marufuku hiyo...
View ArticleAbiria Songwe Airport wapimwa ebola
Afisa Afya Bw. Peter Alfred (katikati) akikagua hati ya kusafiria ya Bw. Paluku Ngahngondi (kushoto) Mkongo anayeishi Zambia, kabla ya kupanda ndege ya Fastjet kuja Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa...
View ArticleJANG’OMBE BOYS HOI SPORTPESA SUPER CUP
Na Shekha Jamal, DAR ES SALAAMVIGOGO wa Kenya, Gor Mahia wamekwenda Nusu Fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Jang’ombe Boys ya Zanzibar mchana huu Uwanja...
View ArticleSIMBA WA KIMATAIFA YATOLEWA SPORTPESA SUPER CUP
Na Rehema Lucas, DAR ES SALAAMSIMBA SC imeaga mapema michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kufungwa kwa penalti 5-4 kufuatia sare ya 0-0 na Nakuru All Stars ya Kenya jioni ya leo Uwanja wa Uhuru,...
View ArticleHABARI KUTOKA TELEVISHENI
Preview YouTube video Mwili wa Dereva Bodaboda Waokotwa MsituniMwili wa Dereva Bodaboda Waokotwa MsituniPreview YouTube video Anna Mghwira Atua Rasmi KilimanjaroAnna Mghwira Atua Rasmi...
View ArticleBAM INTERNATIONAL WAKARABATI SHULE YA SEKONDARI BARABARA YA MWINYI DAR ES...
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa Temeke, Eric Kilangwa (wa pili kulia) na Mkurungezi wa Miradi wa Kampuni ya Bam International, Wolfgang Marschick wakifurahia baada ya kuzinduzi wa madarasa matano, ofisi...
View ArticleIGP Sirro alivyokwenda Kibiti na Mkuranga
Wiki moja tangu IGP Simon Sirro aapishwe na JPM kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi, leo June 6, 2017 Mkuu huyo wa Jeshi la Polisi amefanya ziara yake ya kwanza Kibiti na Mkuranga kutimiza ahadi baada ya...
View ArticleADIOS AMIGO, BRAZA ABDULCISCO!
Na AnkalHebu jaribu kulielezea jiji la Dar, au la Arusha, ama la Mwanza, Mbeya ama jiji lolote lile, tena kwa kutumia ukurasa mmoja tu na uwe umefanikiwa kulieleza kinagaubaga kiasi hata mtu ambaye...
View ArticleMBUNGE COSATO CHUMI ATOA MSAADA WA AMBULANCE NYINGINE JIMBONI KWAKE
MBUNGE wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi akizungumza na wananchi wa Igohole wakati kukadhi gari la kubebea wagonjwa ambalo amepewa na wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto MBUNGE wa...
View ArticleSTARS WAREJEA DAR ES SALAAM KUTOKA MISRI, TAYARI KWA KAZI YA LESOTHO
Kikosi cha Taifa Stars kimerejea nchini kikitokea Misri ambako kiliweka kambi maalum.Stars chini ya Kocha Mkuu, Salum Mayanga inajiandaa kucheza na Lesotho katika mechi ya kuwania kufuzu michuano ya...
View Article