Je wajua Brigadier Isaac Maliyamungu Ni luteni mbaya ambaye alikuwa anahudumu enzi za Mtawala Idd Amin Dada akiongoza kikosi maalumu cha Kuzima Upinzani katika Jeshi, Aliwaua watu takribani 80,000 na inasadikika alipotea kipindi cha vita ya kagera mpaka Leo #ElimikaWikiendi
↧