Quantcast
Channel: Kamanda wa Matukio OnlineTv
Browsing all 21913 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

“Nimeumia kuliko siku zote toka nimeanza kazi Simba”-Haji Manara

Club ya wekundu wa Msimbazi Simba leo Ijumaa ya December 22 2017 ilikuwa katika uwanja wa Azam Complex Mbande Chamazi kucheza mchezo wake wa round ya pili wa Kombe la Azam Sports Federation Cup  dhidi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KAGAME ALAUMIWA KUHUSIKA MAUAJI YA KIMBARI RWANDA

Majaji nchini Ufaransa wamewalaumu wapiganaji walioongozwa na Rais wa sasa wa Rwanda, Paul Kagame kwa kuilenga na kuiangusha ndege iliyokuwa imembeba Rais wa wakati huo wa Taifa hilo, Juvenal...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHEKI KOMREDI KINANA ALIVYOKUWA MIAKA YA 70

Abdulrahman Kinana 1970s. Kinana served in the Tanzania defense Forces for 20 years before retiring as a Colonel in 1992. He also served as the Deputy Minister of Defence, Deputy Minister Foreign...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BRIGEDIA ISAAC MALIYAMUNGU MFUASI WA IDI AMIN ALIYEUA WATU 80,000

 Je wajua Brigadier Isaac Maliyamungu Ni luteni mbaya ambaye alikuwa anahudumu enzi za Mtawala Idd Amin Dada akiongoza kikosi maalumu cha Kuzima Upinzani katika Jeshi, Aliwaua watu takribani 80,000 na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MO DEWJJ ATAKA KOCHA WA SIMBA OMOG AJIUZURU

#DewjiBlogNews:"Kwa kuwa bado sina mamlaka ya maamuzi kwenye klabu ya Simba, kama mwanachama na mshabiki wa Simba, namuomba OMOG kwa heshima na taadhima ajiuzulu."- Mohammed Dewji MO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWIGULU NCHEMBA AZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA UBUNGE LONGIDO

 Mbunge wa Jimbo la Iramba, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM za Mgombea Ubunge Jimbo la Longido, mkoani Arusha. Ni nderemo na vifijo

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA INAONGOZA KWA UKUAJI UCHUMI AFRIKA MASHARIKI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA MKOA WA DAR ES SALAAM, WAMPOKEA KWA KISHINDO...

 Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akisalimia baadhi wa wana CCM waliofurika katika ukumbi wa Tawi la CCM Mwinjuma, Mwananyamala jijini Dar es Salaam, ambao walifika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA SC WAAANZA KAZI KOMBE LA AZAM SPORTS FEDERATION LEO

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAMMABINGWA wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Yanga SC wanaanza kampemni yao ya kuwania Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) kwa kumenyana na Reha FC ya Daraja la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKILI MGONGOLWA, PROFESA MGONGO FIMBO KUONGOZA KAMATI YA MABADILIKO YANGA

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAMMWANASHERIA maarufu nchini, Alex Mgongolwa ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia Mchakato wa Mabadiliko katika klabu ya Yanga.Uteuzi huo umetajwa Ijumaa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI NCHINI

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu), Profesa Faustin Kamuzora akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha uendelezaji kilimo Ukanda wa Kusini mwa Tanzania (SAGCOT),...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAFALI YA 16 YA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA DAR

Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Jaji mstaafu Barnabas Samatta, akimsikiliza Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Mathew Luhanga.Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Jaji mstaafu Barnabas Samatta, akisaini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFUGAJI WAMUANGUKIA NAIBU WAZIRI ABDALLAH ULEGA WAOMBA SHERIA IREKEBISHWE...

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega  akizungumza na wafugaji wa Ng’ombe kwenye ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya wilaya ya Bukombe wakati alipofika kuwasikiliza kilio chao.Naibu Waziri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI KWELI MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMAAA!!!!!

 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASHA AJIFUNGUA PACHA WANNE

 MWANAMKE Asha Mashaka (27), mkazi wa Msamvu B, Kata ya Kihonda Maghorofani, Manispaa ya Morogoro amejifungua kwa njia ya upasuaji watoto wanne pacha.Kati ya watoto hao, wawili ni wa kike na wawili wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMEKIONA KILIMO CHA AJABU ISRAEL?

The Israeli newspaper Yedioth Achronot speaks about the Israeli Pavilion at Expo 2015 Milan. Here you can read the article:a di navigazion

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA SC YASONGA MBELE AZAM SPORTS FEDERATION CUP, YAWAPIGA 2-0 WATOTO WA TEMEKE

Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAMMABAO ya dakika za lala salama ya kiungo Pius Buswita na mshambuliaji Amissi Tambwe yameipa ushindi wa 2-0 Yanga SC dhidi ya Reha ya Temeke na kusonga mbele hatua ya 32...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZISHI WA MWANDISHI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE

Mayage S.Mayage kuzikwa Mbweni Jijini Dar AlhamisMWANDISHI wa habari mwandamizi, Mayage Mayage, (56), amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda.Mayage amekutwa na umauti katika Hospitali ya Misheni ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAASKOFU WAFUNGUKA, WATOA YA MOYONI

*MMOJA ATAKA WATANZANIA KUACHA KULALAMA VYUMA KUKAZANa Said Mwishehe,Blogu ya JamiiMAASKOFU mbalimbali nchini wameitumia Sikukuu ya Krismasi kuelezea mambo mbalimbali yanayoendelea nchini.Huku baadhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASHINDI WA DROO YA PILI MLIMANI CITY WAPATIKANA.

Na Mwandishi Wetu.WASHINDI 20 wa promosheni ya Mlimani City Shoping Fest wamepatika mara baada ya kucheza droo iliyofanyika mwishoni mwa wiki Mlimani City jijini Dar es Salaam ambao ni Grace...

View Article
Browsing all 21913 articles
Browse latest View live
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>