MAWAZIRI WAMIMINIKA BANDA LA METL SABASABA
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (Mb) akiwasili kwenye banda la Makampuni ya MeTL GROUP na kulakiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya MeTL GROUP, Fatema Dewji...
View ArticleMATUKIO ZAIDI JK ALIPOTEMBELEA MAONESHO SABASABA
Rais Jakaya Kikwete akiwasili kwenye viwanja vya Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa TANTRADE yanayofanyika kila mwaka kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam...
View ArticleSLAA;RAIS KIKWETE AKIAMUAKUTUMIA RUNGU LAKE KATIBA ITAPITAKA
Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amemtaka Rais Jakaya Kikwete kujitokeza hadharani kutafuta suluhu ya kupata mwafaka wa mchakato wa Katiba Mpya kwa kuwa hakuna mamlaka nyingine...
View ArticleSAKATA LA URAIS NDANI YA CCM. WASSIRA APINGA HOJA ZA JAJI WARIOBA
Mjumbe wa Kamati Kuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wassira, ameibuka na kupinga kauli ya Jaji Joseph Warioba kuhusu umri wa mgombea urais katika uchaguzi mkuu ujao. Warioba alikaririwa juzi...
View ArticleArticle 0
RAIS KIKWETE AFANYA ZIARA INGINE TENA KWENYE MAONESHO YA SABASABA LEO Rais Jakaya Mrisho kikwete akipozi na viongozi na wafanyakazi katika banda la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) alipofanya ziara...
View ArticleArticle 13
MASHABIKI WA MBEYA CITY TAWI LA SIDO WAIFANYIA SHEREHE TIMU YAO.Laizer Ngela Katibu wa Mbeya city tawi la Sido aliesimama akitoa neno la shukrani kwa wachezaji wa Mbeya cityAbubakari Masoli Meneja...
View ArticleArticle 12
Askofu Alinikisa Cheyo wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi akana tuhumaAskofu Alinikisa Cheyo wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini MagharibiAskofu Alinikisa Cheyo wa...
View ArticleKUTOKA KWENYE MAGAZETI YA HARDNEWS JUMATATU JULAI 07/ 2014
...............................
View ArticleArticle 8
MBUNGE WA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE AONGOZA ZOEZI LA KUCHIMBA MASHIMO YA NGUZO ZA UMEME KUELEKEA KIJIJI CHA NINDI, NTUMBATI NA LUPINGU Mbunge wa Ludewa, Mheshimiwa Deo Filikujombe (kushoto) akipata...
View ArticleArticle 7
video ya Mdogo mdogo ya Diamond kwa kutazama kipande hiki. Video hii pamoja na ile ambayo ameshirikiana na Iyanya kutoka Nigeria Diamond Platnumz ameahidi kuziachia kesho wakati anasherehekea siku ya...
View ArticleNEYMAR AKISAFIRISHWA KWA CHOPA KWENDA KWAO BAADA YA KUTOKA HOSPITALI
Mchezaji aliyekuwa tegemezi kwenye mechi za kombe la dunia za timu ya Brazil Neymar Jr, hatimaye amepelekwa kwao Guaruya, Sao Paulo kwa ajili ya mapumziko. Neymar amepata matibabu baada ya kupata...
View ArticleMALKIA WA SWAZILAND MATSEBULA AWASILI ZANZIBAR
Mke wa Kwanza wa Mfalme Mswati wa Swaziland Queen Nomsa Matsebula akivishwa shada la maua baada ya kuwasili Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku mbili,ambapo atatembelea sehemu mbalimbali ikiwa...
View ArticleWAZIRI KABAKA ATEMBELEA BANDA YA PSPF SABASABA
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akimpa maelezo, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, wakati alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya...
View ArticleRAIS DR. JAKAYA KIKWETE AFURAHISHWA NA MIRADI YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA...
Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na David Shambwe Kulia Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba (NHC) na Felix Maagi Kaimu Mkurugenzi Mkuu na Mkurugenzi wa Fedha wa Shirika hilo,...
View ArticleArticle 2
MBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE AGAWA VITANDA SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI JIMBONI MWAKE. Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete na Diwania wa Kata ya Bwilingu Bw. Ahmed Nasser wakiwa wamelala kwenye...
View ArticleSARAFU YA SH 500 KUZIBA PENGO LA NOTI YA SH 500 ILIYOSHINDWA KUHIMILI KWA...
Mfano wa Sarafu ya 500 kama iliyoonekana katika Banda la Benki Kuu katika maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Noti ya shilingi mia tano. Baada ya noti ya shilingi mia tano kubainika kuwa kwenye...
View ArticleNJIA 10 TENA RAHISI TU ZA KUPUNGUZA UNENE, ITAKUPASA KUZINGATIA MAMBO HAYA !!!.
UTANGULIZI. Ugali kwa samaki; mboga ya majani ya matango kwa nyanya. Usiweke chumvi kwenye hiyo mboga mbichi ya majani. Ni makala muhimu sana. Wastani wa maisha ya Mtanzania ( na Waafrika wengi) hata...
View ArticleBIRTHDAY YA MAMA YAKE DIAMOND AMZAWADIA GARI LA MILIONI 38..
Ingawa Diamond hayupo Tanzania lakini hakungoja mpaka arudi ndipo akabidhi zawadi hii badala yake alichokifanya ni mara baada ya kukamilisha kila kitu kinachoihusu gari hii Diamond Platnumz aliwapatia...
View Article