$ 0 0 BODI ya Ligi imefanya marekebisho maalum ya ratiba ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza mapema mwakani visiwani Zanzibar.